×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya voliboli ya wanaume ya GSU yajiandaa kwa mashindano ya mabingwa Afrika

21st March, 2018

Timu ya voliboili ya wanaume ya GSU imepania kufika mkondo wa nusu fainali katika mashindano ya klabu bingwa barani, yatakayoandaliwa misri kati ya tarehe 27 mwezi huu hadi aprili 5. GSU watakuwa wanarejea tena katika michuano ya baramni baada ya kuwa nje mwaka jana katika mashindano yaliyoandaliwa nchini tunisia na walikuwa na matumaini kwamba mwaka huu huenda ukawa mwaka wao. Kocha mkuu Gideon Tarus alizindua kikosi dhabiti cha wachezaji walio na uzoefu na talanta change tayari kwa mashindano hayo.

.
RELATED VIDEOS