21st March, 2018
Idadi kubwa ya wanafunzi huko Magarini wameathirika na mafuriko kiasi cha kuwa wengi hawafiki shuleni. Inaaminika kuwa wengi wao wameshindwa kutoka nyumbani kwani vijiji vyao vimezingirwa na maji. Maelezo zaidi ni katika taarifa ifuatayo.