×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Majumba yaliojengwa kwa ardhi nyevu nyevu yaporomoshwa mtaa wa Zimmerman: Mbiu ya KTN

21st March, 2018

Mamlaka ya ujenzi nchini imeanzisha mchakato wa kubomoa majumba hafifu jijini Nairobi. Shughuli hiyo ilingo'a nanga hii leo katika mtaa wa Zimmerman ambapo majumba mawili yaliyojengwa katika uwanja nyevunyevu na yasiyohitimu viwango yaliporomoshwa. Mamlaka hiyo inalenga majumba zaidi katika mitaa ya Kariobangi, Mathare na Huruma ili kuzuia maafa ya watu pale ambapo majumba yanaporomoka ghafla. Katika majumba yaliyoporomosha leo, wakaazi walikuwa wamepewa ilani ya kuhama kabla ya shughuli hiyo kuanza. 

.
RELATED VIDEOS