×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mhubiri Esther Bonchaberi apotea kufuatia kile kinachotambulika kuwa mzozo wa ardhi

20th March, 2018

Muungano wa maaskofu kutoka Kisii kusini katika kaunti ya Kisii wametoa notisi ya siku ya saba kwa serikali kumtafuta mwenzao ambaye alipotea siku nane zilizopita. Maaskofu hao wamesema kuwa serikali haijakuwa na haraka ya kuchukulia hatua suala la kupotea kwake mhubiri Esther Bonchaberi. Esther alipotea akiwa nyumbani kwake katika kata ndogo ya bogita tarehe 11 mwezi machi kufuatia kile kinachotambulika kuwa mzozo wa ardhi. Maafisa wa usalama sasa wanasema wanachunguza kisa hicho huku wakitoa wito kwa umma kutoa ripoti yoyote kupotea kupotea  kwake.

.
RELATED VIDEOS