19th March, 2018
Ushindi wa Afc Leopards wa mabao 2-1 dhidi ya kakamega homeboyz umehakikisha kwamba wamejongea uongozi wa ligi kuu. Wapo sako kwa bako na Gor Mahia japo wana upungufu wa mabao na Gor Mahia wana upungufu wa mchuano mmoja kutokana na kushiriki kwao katika dimba la barani.hili hapa jedwali la timu kumi bora.