17th March, 2018
Japo kazi yake ya jumatatu hadi ijumaa ni ile ya unyamavu nyuma ya kamera akinakili yanayojiri mahakamani kwa niaba ya gazeti la the Standard, ifikapo jumamosi George Njung’e hugeuka mfawidhi au Mc kwenye hafla na karamu mbalimbali.