Mirindimo: Jamaa huko Mombasa apatikana amevaa nguo sita hivi kwenye mnada wa Nakumatt.
17th March, 2018
Jinsi wakenya wamegundua kupigania wanasiasa ni kazi bure huku mafuriko yakifungua vindimbwi vya kuogelea na Jamaa huko Mombasa apatikana amevaa nguo sita hivi kwenye mnada wa Nakumatt.