MBIU WIKENDI: Kifaa kinachotumia kawi ya jua kukata nyasi kwa kasi ya ajabu.
17th March, 2018
Uvumbuzi wa mashine ya kukata nyasi inayotumia miale ya jua pekee na kutumiwa pia kama kifaa cha kunyoa nywele pamoja na kutoa mwangaza wa kutumika kuangaza usiku umewapa matumaini wengi.