MBIU WIKENDI: Zaidi ya familia 100 zimesalia bila makao baada ya nyumba zao kusombwa na maji.
17th March, 2018
Zaidi ya familia 100 zimesalia bila makao baada ya nyumba zao kusombwa na maji. Wakazi wa Kilimambogo walilazimika kukimbilia usalama wao baada ya mto athi kuvunja kuta zake kutokana na mvua kubwa inayonesha nchini.