.
15th March, 2018
Senata wa Bungoma Moses Wetangula amebanduliwa Bungeni katika cheo chake cha kiongozi wa wachache katika Bunge la Senate na nafasi yake kuchukuliwa na Seneta wa Siaya James Aggere Orengo.Katika barua iliyotumwa kwa Spika wa Bunge la Senate na chama cha ODM ambacho kina wabunge wengi katika muungano wa NASA wadhifa huo unatakiwa kuwa wa ODM