×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maelfu ya wakazi kutoka nchini Ethiopia wangali wanaingia Mjini Moyale kufuatia vita nchini Ethiopia

15th March, 2018

Maelfu ya wakazi kutoka nchini Ethiopia wangali wanaingia Mjini Moyale kama wakimbizi kufuatia vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo katika siku za hivi karibuni.Idadi ya wakimbizi hao inaendelea kuongezeka na mashirika ya kihisani yamesema kuwa wahusika wanahitaji msaada wa dharura. Serikali ya Ethiopia ilitangaza hali ya hatari nchini humo baada ya aliyekuwa waziri mkuu Hailemarriam Desaleign kujiuzulu baada ya kushuhudiwa maandamano nchini humo. 

.
RELATED VIDEOS