×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Droo ya kombe la Chapa Dimba iliandaliwa jijini Nairobi

13th March, 2018

 

Droo ya kombe la Chapa Dimba iliandaliwa hii leo jijini Nairobi huku timu mbali mbali zikipata kufahamu wapinzani wao kwenye kinyanganyiro hicho ambacho kitaandaliwa kutoka tarehe 22 mwezi marchi hadi tarehe 24 katika uwanja wa Bhukungu katika kaunti ya Kakamega. Washindi wa kombe hilo watapokea shillingi millioni moja kila mmoja na pia watapata fursa ya kusafiri uingereza kwa ajili ya kupokea mafunzo ya soka .

.
RELATED VIDEOS