×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Majonzi yameikumba famlia moja Kakamega baada binti wao wa miaka 9 aliyetoweka

13th March, 2018

Majonzi yameikumba famlia moja katika eneo la Kakamega baada binti wao wa miaka 9 aliyetoweka kutojulikana aliko. Wakaazi wakiandamana kuelezea ghadhabu zao. Shirlene Mwanzia mwenye umri wa miaka 9 alitoweka Jumapili alipokuwa anacheza na nduguze wawili nje ya nyumba yao. Akitafutwa kote asipatikane hadi wa leo.

.
RELATED VIDEOS