12th March, 2018
Ni rasmi kuwa mwafaka wa siasa kati ya Rais Uhuru Kenyatta na kiongozi wa NASA Raila Odinga umeibua hoja mitaani na vijijini. Je hatima ya Kalonzo Musyoka, Musalia Mudavadi na Moses Wetangula ni ipi baada ya kutengwa katika maamuzi hayo. Nafasi ya naibu rais William Ruto ni ipi katika mchakato huu? Na je hatima ya Raila ni ipi?