Gor Mahia itachuana na vigogo wa Tunisia klabu cha Esperence
6th March, 2018
Vigogo wa ligi kuu ya humu nchini Gor Mahia itachuana na vigogo wa Tunisia klabu cha Esperence katika mchuano wa kukata na shoka wa klabu bingwa barani Afrika katika uga wa Machakos.