Masaibu wanaopata baadhi ya wahudumu wanaolipia maji Migori: Mirindimo
23rd February, 2018
Kwenye makala yetu ya mirindimo tunaangazia masaibu yanayowapata wazungu wasiolipia huduma fulani nyeti Pwani ya kenya huku maandamano ya mitungi ya maji yakipamba moto Migori.