×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke aripotia kudunga mke mwenza kisu na kumuua kutoka maeneo ya Rongo

23rd February, 2018

Mwanamke mmoja anaripotiwa kumdunga kwa kisu na kumuua mke mwenza kufuatia mzozo wa familia huko Rongo. Inadaiwa aliyetekeleza mauaji hayo alifanya hivyo kutokana na hisia kwamba mumewe alimpenda zaidi mke mwenza. Pia inadaiwa alikuwa amemuonya mara kadhaa kutomtembelea mama mkwe. Nicholas Wambua anaripoti.

.
RELATED VIDEOS