23rd February, 2018
Vile vile huko Nyabururu mahakama kuu imetupilia mbali kesi iliyopinga ushindi wa gavana wa Samburu Moses Lenolkulal. Kesi hilo iliyowasilishwa na aliyekuwa mgombea wa chama cha ODM Simeon Lesirma imetupiliwa mbali na jaji Roseline Wendoh ambaye pia alimpa mlalamishi mzigo wa kulipa shilingi milioni sita kama gharama ya kesi hiyo.