Mwanaume mzungu apata aibu baada ya kujihusisha kwenye mahaba za siri Diani-Kwale: Mbiu ya KTN
23rd February, 2018
Huko Diani kaunti ya Kwale, mwanamume mmoja mzungu alipata aibu baada ya kujihusisha kwenye mahaba ya siri na msichana mmoja, ambaye kisha alidai hajalipwa ada walioafikiana. Tobias Chanji anatupa kioja hicho.