22nd February, 2018
Uwanja mpya wa Bomu utandaa mechi za kimataifa kuanzia ile ya chipukizi kati ya Kenya na Egypt mwezi ujao. Hii ilibainika katika ziara ya uwanja huo iliyowahusisha gavana wa kaunti ya Mombasa Ali Hasan Joho na rais wa FKF Nick Mwendwa.