Chama cha Wiper chahakikishia wafuasi wa NASA msimamo wao: Mbiu ya KTN
22nd February, 2018
Chama cha Wiper kimesisitiza kwamba muunga wa NASA ungali imara na kwamba wafuasi wa NASA wanapaswa kupuuza madai kwamba vyama tanzu vya NASA vinasambaratika. Hayo yamesemwa na Johnston Muthama.