21st February, 2018
Shughuli ya kuwasajili makurutu wanojiunga na kikosi cha
jeshi imeendelea maeneo mbali mbali humu nchini.katika
eneo la Igembe kaskazini kaunti ya Meru, makurutu
walijitokeza huku maafisa wakilalamikia matokeo duni ya elimu.