20th February, 2018
Kamati ya Olimpiki imedokeza kwamba kikosi cha Kenya kiko tayari kuingia kambini baada ya mashirikisho karibu yote isipokuwa mawili kuteua wachezaji watakaoshiriki mashindano ya jumuia ya madola jijini Gold Coast nchini Australia.