19th February, 2018
Baada ya kupona jeraha alilokuwa nalo, kigogo wa mchezo wa badminton Victor Odera ataiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya jumuia ya madola kwa mara ya nne mtawalia baada ya kufuzu kwa kumshinda john wanyoike wa chuo kikuu cha kenyatta huku wawili hao wakimaliza kwa alama tisa.