×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kocha wa Harambee Stars Paul Put ajiuzulu

19th February, 2018

Kocha wa timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars  Paul Put amejiuzulu. Kocha huyo amejiuzulu kutokana na kile alichodai ni sababu za kibinafsi.  Put aliiongoza Kenya kushinda kombe la CECAFA mwezi disemba mwaka jana . Taarifa iliyotumwa kwa  vyombo vya habari kutoka kwa shirikisho la kandanda nchini ni kwamba aliyekuwa kocha wa Stars Stanley Okumbi sasa atatwaa hatamu za uongozi wa timu ya taifa kwa muda huku wakisaka kocha mkuu. 

.
RELATED VIDEOS