Kisii and Nyamira elders oppose move to install MP Simba Arati as Abagusii Spokesperson
16th February, 2018
Wazee wa Jamii ya Abagusii kutoka kaunti za Kisii na Nyamira wameapa kutoruhusu hafla ya kutawazwa mbunge wa Dagoreti Kusini Simba Arati kama msemaji wa Jamii ya Abagusii. Wamezungumza huko mjini Kisii mapema siku ya leo.