×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mabingwa watetezi Gor Mahia wapanda kileleni ya KPL baada ya kucharaza Zoo Kericho

15th February, 2018

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka nchini Gor Mahia wamepanda kileleni mwa jedwali baada ya kuwacharaza Zoo FC mabao manne kwa mawili kwenye mechi iliyochezwa uwanjani Kericho. Kogalo walichukua uongozi kupitia jaques tuyisenge naye boniface omondi akaongeza la pili. Johsntone Ligare aliwasawazishia Zoo bao moja lakini kogalo wakafanikiwa kuongeza la tatu na la nne kupitia Joachim Oluoch na Samuel Onyango.

.
RELATED VIDEOS