.
15th February, 2018
Seneta wa Meru Mithika Linturi ameitaka serikali ya Jubilee kufwata maagizo ya mahakama na kuwataka wadau wote serikalini kuiheshimu idara ya mahakam. Linturi alizungumza baada ya kufanya kikao na mbunge wa Buuri Mugambi Rindikiri ambaye kesi iliyokuwa imewasilishwa dhidi yake kutupiliwa mbali.