×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mlinda lango wa timu ya Telkom-Cynthia Akinyi atunukiwa: Zilizala Viwanjani

14th February, 2018

Mlinda lango wa timu ya mpira wa magongo ya Telkom Cynthia Akinyi ametuzwa mwanamichezo bora wa mwezi Januari Cynthia ambaye nimchezaji wa saba kupokea tuzo hiyo amewapiku wachezaji tenisi Ryan Randiek na sneha kotecha pamoja na mwanabondia Nick Okoth, mchezaji huyo aliye na umri wa miaka 24 alikuwa nguzo muhimu katika kampeni ya Telkom kwenye mashindano ya klabu bingwa afrika ambapo alifungwa mabao amwili tu kuwasaidia kumaliza kwenye nafasi ya pili.?

.
RELATED VIDEOS