×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Tharaka Nithi governor warns his constituents might ditch Jubilee come 2022

14th February, 2018

Gavana wa kaunti ya Tharaka Nithi Muthomi Njuki ameonya ya kwamba huenda wakazi wa kaunti hiyo wakajiondoa katika chama cha Jubilee iwapo Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wataendelea kuwatenga katika teuzi za serikalini. Muthomi amesema kuwa endapo rais ataendelea kuwatenga itakuwa wazi kwamba umuhimu wa kaunti hiyo katika siasa za Jubilee hauthaminiwi hivyo basi kuashiria mwanzo wa viongozi na wapiga kura kuanza mchakato wa kujiondoa kwenye chama hicho.

.
RELATED VIDEOS