Zaidi ya wanariadha 65 watawakilisha Kenya kwenye mashindano ya Jumuia ya madola Australia
13th February, 2018
Zaidi ya wanariadha 65 watawakilisha Kenya kwenye mashindano ya Jumuia ya madola yatakayoandaliwa kati ya tarehe 4 na 15 mwezi Aprili, nchini Australia.