×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali ya kaunti ya Kitui imeahidi kujenga viwanja viwili vyenye viti zaidi ya elfu tano

12th February, 2018

Serikali ya kaunti ya Kitui imeahidi kujenga viwanja viwili vyenye viti zaidi ya elfu tano. Waziri wa maswala ya michezo na utalii kutoka kaunti ya Kitui Patrick Koki alidokeza kuwa  kuna mikakati ya kuboresha bustani ya Musila ambapo timu zingine hufanyia mazoezi.

.
RELATED VIDEOS