.
12th February, 2018
Mchakato wa kuwasajili makurutu kwenye vikosi vya jeshi la taifa umeanza kote nchini. Kwa sasa tunaungana naye luteni kanali paul kindochimu anayesimamia shughuli hiyo huko kisumu. Luteni kanali hebu tuambie shughuli imeanzaje na ni mambo yapi yanasisitizwa?