×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanabondia Fatuma Zarika atuzwa kama mwanamchezaji bora kwa mwezi wa disemba

8th February, 2018

Mwanabondia Fatuma Zarika ametunukiwa tuzo ya mwanamichezo bora nchini wa mwezi disemba mwaka jana. Zarika aliye na umri wa miaka 34 alimbwaga catherine phiri wa zambia na kunyakua taji la wbc kitengo cha super bantamweight kwenye pigano lilofanyika mjini Nairobi tarehe mbili mwezi disemba. Ushindi huo ulikuwa wa 30 kwa mwanamasumbwi huyo, 17 ikiwa ni kwa njia ya knock out. Zarika amewapiku mchezaji chesi Joyce Nyaruayi na dereva Carl flash Tundo katika tuzo hiyo. 

.
RELATED VIDEOS