×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Timu ya kandanda AFC Leopards wajianda kuchuana na Fosa Juniors kutoka Madagascar

8th February, 2018

Afc Leopards wanapania ushindi dhidi ya Fosa Juniors ya Madagascar siku ya jumamosi ili wajipe matumaini ya kufuzu raundi ya pili ya dimba la mashirikisho barani Afrika. Mechi hiyo ya mkondo wa kwanza itachezwa uwanjani Bukhungu katika kaunti ya Kakamega.

.
RELATED VIDEOS