Marufuku ya gavana wa Kitui Charity Ngilu yazidi kuzoatata baada ya wanabiashara kulalamika

Dira ya Wiki | Thursday 8 Feb 2018 8:00 pm

Mafuruku ya kuchoma makaa iliyotolewa na gavana wa Kitui Charity Ngilu imeonekana kuendelea kuzua utata katika kaunti hiyo, wanaojihusisha na biashara ya makaa kaunti ya Kitui wamejipata taabani kwani wakaazi waliokuwa na gadhabu waliteketeza lori iliyokuwa ikisafirisha makaa kuelekea nairobi katika eneo la kanyonyo kwenye barabara kuu ya Thika? Garissa. Mary Kilobi ana zaidi.