7th February, 2018
Miaka miwili iliyopita, Rishadi Shedu alikuwa miongoni mwa makocha waliowindwa na vilabu kadhaa kanda ya Afrika mashariki lakini hivi sasa kufuatia hali ya afya, amesalia bila timu yoyote. Kocha huyo anahitaji msaada wa kifedha ili afanyiwe matibabu ya guu lake la kushoto lililo jeruhiwa. Abulla Ahmed, na taarifa hiyo kwa kina