Suala la uteketaji ni tatizo kubwa Afrika mashariki: Mbiu ya KTN

KTN Mbiu | Wednesday 7 Feb 2018 5:17 pm

Huko nchini Tanzania, kila mwanamke mmoja katika kundi la wanawake kumi amefanyiwa ukeketaji kwa mujibu wa ofisi ya takwimu ya taifa hilo, sasa serikali ya Tanzania, umoja wa ulaya na taasisi binafsi zinashirikiana katika kuhakikisha visa sifuri vya ukeketaji nchini humo, Rajabu Hassan na maelezo zaidi