×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali yabatilisha hati ya usafiri ya David Ndii

7th February, 2018

Serikali imebatilisha hati ya usafiri ya mwana mikakati wa muungano wa nasa David Ndii. Mkurugenzi wa uhamiaji nchini Gordon Kihalangwa kwenye barua kwa Ndii amesema kuwa ubatilisho huo umefanywa kuambatana na kipengee cha uhamiaji cha mwaka wa 2011. Kihalangwa amemuagiza Ndii kuwasilisha hati hiyo kwa idara ya uhamiaji katika jumba la nyayo kwenye muda wa siku 21 zijazo bila ya kukosa. Ndii amehusishwa pakubwa na upangaji mikakati kwenye muungano wa nasa, na hata kuhusishwa na uapisho wa hizi majuzi wa Raila Odinga, uliotajwa na serikali kuwa kinyume cha sheria.

.
RELATED VIDEOS