7th February, 2018
Wazazi wa shule ya msingi ya Kigumo kaunti ya Murang'a wamefanya maandamano kulalamikia unyakuzi wa ardhi ya shule hiyo.Wazazi hao wanamlaumu bwana mmoja kwa jina James Gitau, ambaye anadaiwa kunyakua ardhi hiyo na kuigawanya kwa vipande vidogo kwa ajili ya kuviuza.