×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Shule yapata msaada wa maji kutoka kwa shirika lisilo la serikali

7th February, 2018

Shirika moja lisilo la serikali limetoa msada wa kuchimba kisima cha maji kwa matumizi ya shule ya Kehancha  huko kuria kaunti ya Migori. Mradi huo ni afueni kwa wanafunzi wapatao mia saba katika shule hiyo pamoja na familia zipatazo mia mbili katika eneo hilo.  Mkuu wa shule hiyo Chacha Nyamohanga amewashukuru wahisani hao kwa msaada huo ambao anasema ni kichocheo kikubwa kwa viwango vya masomo.

.
RELATED VIDEOS