7th February, 2018
Baadhi ya vijana wamejitokeza na kumkashifu mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, kwa kile wanachokidai kuwa mwendelezo wake wa tabia zisizofaa kwa viongozi. Wakiongea hapa nairobi, vijana hao wamesema iwapo babu owino hatabadili mienendo, huenda ikawafanya wapiga kura kuwatenga vijana katika chaguzi za baadaye, hivyo kuwaharibia vijana nafasi za kufanyika viongozi.