Mbunge William Chepkut ajipata pabaya baada ya wakaazi wa Uasin Gishu wakiandamana

Dira ya Wiki | Friday 26 Jan 2018 7:37 pm

Siku moja baada ya mauaji tatanishi ya mwanariadha Tirop Kesio na mwenzake katika eneo Kipkorogot kaunti ya Uasin Gishu mapema leo mbunge wa Ainabkoi William Chepkut amejipata kwenye ghadhabu ya polisi waliomrushia vitoza machozi katika jitihada za kuwatawanya waandamanaji waliofunga barabara kuu ya Eldoret?Eldama ravine. Elvis Kosgei na maelezo zaidi