Orodha ya mawaziri wapya walipteuliwa na rais Uhuru Kenyatta

Dira ya Wiki | Friday 26 Jan 2018 7:37 pm

Haya ni baadhi ya majina katika baraza jipya la mawaziri ambalo rais Uhuru Kenyatta ametangaza hii leo katika milango ya saa kumi hivi saa za afrika mashariki