×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

FKF limedokeza kwamba serikali imekubali kuziba pengo la kifedha

23rd January, 2018

 

Shirikisho la kandanda nchini FKF limedokeza kwamba serikali imekubali kuziba pengo la kifedha lililoachwa na wadhamini wa shiriikisho hilo ambao walijiondoa mapema mwezi huu. Rais wa shirikisho hilo Nick Mwendwa amesema kwamba shirikisho hilo pia linaweka mikakati ya kuwavutia wadhamini  mbalimbali kujaza pengo hilo la shillingi milioni mia tano. 

.
RELATED VIDEOS