×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Msichana anayeugua ugonjwa wa matende (elephantiasis) atafuta usaidizi

22nd January, 2018

Msichana mmoja eneo la Loitoktok, kaunti ya kajiado anayeugua ugonjwa wa matende kwa kimombo elephantiasis amelazimika kukatiza taaluma yake ya ualimu kutokana na madhila ya ugonjwa huo. Penina Wanjiku amejipata katika maisha ya ombaomba baada ya uvimbe huo kuzidi kumfanya kushindwa kujitegemea. Mwana dada huyo wa umri wa makamo sasa anahitaji kufanyiwa matibabu ya dharura lakini ukosefu wa fedha sasa unamkosesha usingizi hii  ukaweka maisha yake hatarini……

.
RELATED VIDEOS