×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Omboko Milemba na Wilson Sossion waondolewa kwenye sajili ya TSC

22nd January, 2018

Katibu mkuu wa muungano wa walimu nchini KNUT- Wilson Sosion pamoja na mwenyekiti wa chama cha walimu wa vyuo KUPPET- Omboko Milemba wameng'olewa kwenye sajili ya walimu ya TSC. Kwenye taarifa iliyofichuliwa hapo jana na gazeti la The Standard TSC imewaondoa kwenye sajili hiyo kwa sababu ya kuwa wanashikilia yadhifa za kisiasa. Sosion ni mbunge wa kuteuliwa wa ODM huku milemba akiwa mbunge wa emuhaya kwa tiketi ya ANC. Hata hivyo wawili hawa wamekuwa wakijitetea na kuitaja hatua hiyo ya kuwa iliyo na misukumo ya kisiasa kutoka na misimamo yao mikali.

.
RELATED VIDEOS