×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ofisi ya mkuu wa mashtaka ya umma kupunguza mrundiko wa kesi

22nd January, 2018

Ofisi ya kiongozi wa mashitaka ya umma hivi leo imeanzisha shughuli ya kuangalia faili za kesi kadhaa katika  korokoro ya hapa Nairobi.  Hatua hiyo ni kutafuta njia ya kuharakisha kesi zinazojikokota  ili kuhakikisha kwamba faili hizo zinafungwa.  Ni shughuli inayotegemewa  kumalizika siku ya alhamisi wiki hii. Naibu kiongozi wa mashitaka.

.
RELATED VIDEOS