19th January, 2018
Waziri wa masuala ya ndani ambaye pia ni kaimu waziri wa elimu Fred Matiang’i amekosoa mfumo wa elimu ya juu kwa masaibu ya wanaofuzu kutafuta kazi. Matiang’i amengeza kuwa itabidi mabadiliko ya sasa kuboresha mtaala yahusishe kandarasi za utendakazi kwa wahadhiri wa vyuo vikuu.