×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Waziri wa afya Cleopas Mailu akanusha madai ya ubakaji ya wamama katika hospitali ya KNH

19th January, 2018

Waziri wa afya Cleopa Mailu ameamrisha uchunguzi kuanzishwa mara moja dhidi ya madai kwamba baadhi ya akina mama wanaojifungua wamekuwa wakidhulumiwa kimapenzi na wafanyakazi wa chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali hiyo. Mwanahabari Sycilia Wakesho ambaye amekuwa akifuata taarifa hiyo anaripoti kwamba msimamizi mkuu Lily Koros ameahidi kushirikiana na idara ya upelezi kuchunguza madai hayo.

.
RELATED VIDEOS